Monday

PWEZA WA KIBONGO NOMA SANA

Inaonekana Pweza wa Feri si makini kama Pweza Paul wa Ujerumani aliyeweza kutabiri kwa usahihi mechi zote sita Ujerumani ilizocheza kwenye kombe la dunia pamoja na mshindi wa kombe hilo.

Pweza wa Feri alitabiri kuwa Mgombea Mwenza wa chama cha CCM angekuwa mwanamke. Lakini matokeo ni kwamba mgombea mwenza atakuwa Mohamed Gharib Bilal aliyekuwa akishindania nafasi ya urais Zanzibar.

Pweza wa Feri hafai hata kidogo, inabidi awe kitoweo sasa!

No comments: