Friday

IDADI KAMILLI YA WALIOCHUKUA FORM NA KURUDISHA TFF.





Wanamichezo 50 kati ya 52 waliochukua fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Februari 24 mwaka huu wamerejesha fomu hizo.
Waombaji ambao hawakurejesha fomu ni Geofrey Nyange aliyekuwa akiomba ujumbe wa Kamati ya Utendaji kuwakilisha mikoa ya Morogoro na Pwani, na Shufaa Jumanne aliyekuwa akiomba kuwakilisha Kanda ya Dar es Salaam.
Orodha kamili ya waombaji ambao wamerejesha fomu ni Athuman Nyamlani, Jamal Malinzi, Omari Nkwarulo na Richard Rukambura (Rais). Michael Wambura, Ramadhan Nassib na Wallace Karia (Makamu wa Rais).
Kwa upande wa ujumbe wa Kamati ya Utendaji ni Abdallah Musa, Salum Chama na Kaliro Samson (Kagera na Geita), Jumbe Magati, Mugisha Galibona, Richard Rukambura, Samuel Nyalla, Titus Osoro na Vedastus Lufano (Mara na Mwanza).
Epaphra Swai na Mbasha Matutu (Shinyanga na Simiyu), Charles Mugondo, Elly Mbise na Omari Walii (Arusha na Manyara), Ahmed Mgoyi na Yusuph Kitumbo (Kigoma na Tabora), Ayubu Nyaulingo, Blassy Kiondo, Nazarius Kilungeja na Selemani Kameya (Katavi na Rukwa) na James Mhagama na Stanley Lugenge (Njombe na Ruvuma).
Athuman Kambi, Francis Ndulane na Zafarani Damoder (Lindi na Mtwara), Hussein Mwamba na Stewart Masima (Dodoma na Singida), Farid Nahdi, Hassan Othman Hassanoo, Riziki Majala na Twahili Njoki (Morogoro na Pwani), David Lugenge, Elias Mwanjala, Eliud Mvella na John Kiteve (Iringa na Mbeya), Davis Mosha, Khalid Mohamed na Kusiaga Kiata (Kilimanjaro na Tanga) na Alex Kamuzelya, Juma Pinto, Muhsin Balhabou, Omari Abdulkadir na Shaffih Dauda (Dar es Salaam).

SHAKIRA and GERARD PIQUE share amazing pregnancy photos wit

                                    Shakira ameamua kuweka picha hizo mtandaon mapema
                                     ili mashabiki  wake waweze kuangali bule tofauti na
                                     wasanii wengine ambao huamua kuuza picha zao.


Thursday

MAKAHABA WAMEKATWA JANA TAREHE 9/1/2013


Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata zaidi ya wasichana wapatao 22 eneo la Mwananyamala karibu na geti la Mwananyamala hospitali akiwemo mama mtu mzima anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye alikuwa anamiliki jumba lenye zaidi ya vyumba 40 ambalo utumika kufanyia ukahaba maarufu kama danguro.

 
Akitoa taarifa leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamanda Charles Kenyela, alisema kuwa wanashukuru wananchi ambao wameweza kutoa ushirikiano wa kukamatwa kwa wasichana hao ambao walikuwa wakifanya biashara ya ukahaba katika maeneo hayo kwa muda mrefu.

Mashuhuda wa tukio hilo, walisema kuwa wanalishukuru sana Jeshi Polisi kwa kuweza kuwakamata wasichana hao ambao wamekuwa wakifanya biashara hiyo ya ukahaba kwa muda mrefu.

"Tunalishukuru sana Jeshi la polisi kwa kuvunja kero hii ambayo imekuwa ikitukera tokea muda mrefu sana, yani danguro hili lipo tokea mwaka 1990, mimi nazaliwa nalikuta mpaka leo lipo ila leo ndiyo polisi wamekuja kuwakamata wahusika" Alisema mmoja ya vijana wanaoishi eneo hilo.

Shuhuda huyo aliongeza kuwa wasichana hao walikuwa wanafanya biashara hiyo kwa bei ya shilingi 2000, 3000 kwa muda mfupi (short time) na wateja wao ni vijana, akina baba pamoja na vijana ambao huwa wanabarehe kwa vile hawa huwa hawajui mapenzi huko huenda kufundishwa...

Monday

PICHA ZA WEMA SEPETU ZAWA HABARI YA MJINI MITANDAON,

                                                   Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake                               zenye kuonyesha wazi sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeonekana kusambaa kwa haraka zaidi kupitia mtandao wa jamii "facebook" huku kila mmoja akitoa maoni yake kutoka na mtazamo wake                             
 Obedy Bernard Hakika Ney wa mitego hakukosea, makahaba wenye vwango wako bongo move. Wema ni mfano tosha usio pngika kwa hilo. Halafu inakuwaje mwanatme mwenye akili zako umshobokee kahaba kama huyu? Yaani zkitoka tunzo za khb bora tz huyu malaya hatakuwa na mpinzani.
 Timoth Kalavuze wema noma xnaa!!!
Hija Punch Boy Mbogo no one like you i love you wema sepetu waache waogee 2 kwamba wewr malaya kwangu wewe ni namba moja
Paul Shangal Hamna kioo cha jamii bali ktanda cha jamii
Shabbani Saidi daaaaaaaaa ujuwe dada zetu wana tabu sana naiyote kutaka kufosi kuwa maalufu kama watu wa mbele kumbe awajui kama wana jizalilisha kwani lazima uwe malufu na tama ina wapoza kk tuseme ukweli bwana
Mary Talalela usi judge na ku-coment bad about her mwache ahave funny nyie mnajua wake au magirlfnd zenu huwa wanafanya nini nyuma ya pazia ....? sibora wema .... i love u baby wema sana shoo what u have.
kupitia Instagram wema alipost picha hiyo ikiwa na maneno haya " gats to lose me a few more pounds"

                                       
           http://www.facebook.com/pages/Romantic-sky/103655956441781?fref=ts

Tuesday

BREAKING NEWS:SAJUKI KILOWOKO AMEFARIKI R.I.P

         

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu  Juma kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia asubuhi muda wa saa moja kasoro akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akisubiri kusubiri kusafiri kwenda nchni Indi kwa matibabu.

 


Taarifa za mazishi bado familia inashughulikia na ikiwa tayari tutaujulisha umma.... 
Sajuki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mgongo na saratani ya ngozi....
 Bwana ametoa bwana ametwaha jina la bwana lihimidiwe. Amina
                                  
                                                            sajuki na mkewe wastara.