Friday

VIDEO MPYA YA Diamond - Kesho FULL HD



                    isikilize vizuri usikie kijana alivyofanya kweli
                    kwani huwa hakosei hata kidogo,video nzuri
                    na mashairi pia mazuri kuyasikiliza kwani
                     ni catch up lyric.najiuliza tu sijui kaimbiwa WEMA,
                    JOKATE.

3 comments:

Anonymous said...

kiukweli ni video nzuri nilikuwa nasikia tu ila leo nimjionea mwenyewe

Anonymous said...

THIS WILL BE GOOD VIDEO OF ALL TIME FOR DIAMOND
PETER

Anonymous said...

japo cpend masharobaro ila chalii anajua watasubilu
i sana