Mwandada mkare wa nyoga zama hizo Ray C
akiwa na rais wa tanzania DK kikwete alipokuwa
amekwenda kumshukuru kwa matibabu anayosaidiwa
hata hivyo taarifa toka ikulu zinakataa kusema ni wapi
Ray C anatibiwa kwa sasa mpaka atakapo pona
kabisa.Mama wa Ray c anashuru sana pia anadai
mwanae anendelea vizuri sana kwani anakula vizuri tu.
mama wa Ray c kushoto na mtandio mweupe,Rais kikwete,
Ray c mwenyewe na dada ake.

No comments:
Post a Comment