Thursday

MWANAMKE AZAA MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA

                                  DUNIA INA MAMBO JAMANI.........
                         Mwanamke mwenye familia ya watoto wawili amejikuta akikaa
                         na mimba yake kwa miezi 13 mpaka watu wakahisi atakuja kuzaa mapacha
                        ila mwisho wa siku amekuja kuzaa mtoto anayefanana kichwa na macho.
                            Mama mwenyewe anadai kuwa kuna mkono wa mtu kwenye
                             uzazi wake ila amedai yeye na mume wake hawana jinsi itabidi wamlee tu
UNAZANI KWA NINI HUYU MAMA KAJIFUNGUA MTOTO ANAFANANA NA CHURA????

3 comments:

Anonymous said...

haya maisha yana majuto sna kn vp tusali sana mungu anakuja kupunguza shida zetu.
zakia

Anonymous said...

nimefurahi mama kama atamlea mwanae ndo upendo wa kweli huo.

Anonymous said...

naogopa mpaka kuangalia kiukweli hayo mambo,mama anna wa sinza moli.