Sunday

LADY GAGA AOLEWA?????


mdada anayesumbua kwenye game ya music lady gaga
amedai ameolewa na kuzidikutia hofu kwa mashabiki
ake dunian kote,wakati huo huo amepata dili ya kuwa
Judge kwenye TV SHOW ya "YOU THINK YOU CAN DANCE"
ambayo huonyeshwa kila alhamis.
kiukweli anadai ameolewa na MUSIC na FANS wake
hiyo yote kataka kuendeleza vituko vyake hivyo
tusibili vituko kwenye hiyo TV SHOW

No comments: