Sunday
mario brunnette na Cindy sanyu.
mtoto mzurikutoka Uganda CINDERELLA a.k.a Cindy hatimaye
amepata mtoto na mchizi ake Mario,wako kwenye furaha sana
wakati huu kwana Baby girl wao anawapa raha sana
hayo aliyatupia kwenye page yake ya Facebookao wa Facebook...
"Thanks be to God, my baby girl finally arrived"
unategemea kupata mtoto lini wewe uwe kama CINDY
LADY GAGA AOLEWA?????
mdada anayesumbua kwenye game ya music lady gaga
amedai ameolewa na kuzidikutia hofu kwa mashabiki
ake dunian kote,wakati huo huo amepata dili ya kuwa
Judge kwenye TV SHOW ya "YOU THINK YOU CAN DANCE"
ambayo huonyeshwa kila alhamis.
kiukweli anadai ameolewa na MUSIC na FANS wake
hiyo yote kataka kuendeleza vituko vyake hivyo
tusibili vituko kwenye hiyo TV SHOW
Saturday
AY APIGA MZIGO NA ROMEOMILLER JE NDOMAISHA YA HOLLWOOD
mtumzima AY na ROMEOMILLER majuzi wamepiga mzigo
wao kwa ajili ya kideo chao kipya huko
LAS ANGELS,je mtu mzima ndoanakwenda kuanza
maisha mapya ya kistar kideo chake kikitoka??
Tanzania tuko nyuma tunakuombea kaka.
Subscribe to:
Posts (Atom)