Thursday

Justin Bieber amejiunga Young Money?


Kuna tetesi kua Justin Bieber amejiunga (YMCMB) Young Money Cash Money Brothers kimya kimya….je unataka kujua ni vigezo gani vinavyofanya watu wahisi dogo huyo amejiunga kundi hilo? Sasa moja kati ya vithibitisho vinavyowafanya watu waanze kuhisi kua Justin Bieber ni mmoja watoto wa Lil Wayne ambao kwasasa wapo mtu 11 ambao ni Nicki Minaj, Drake, Shanell, Tyga, Gudda Gudda, Lil’ Twist, Cory Gunz, Mack Maine, Lil’ Chuckee and Jae Millz ni baada ya dogo huyo kuonekana kutupia T-shirt za YMCMB sehemu nyingi anazotimba...

No comments: