Friday

Member mpya wa kundi la G-UNIT (Shawty Lo}

Kundi na label ya G-unit imepata msanii mpya…., Ni Shawty Lo.. Hivi sasa wanasheria wa Shawty Lo wapo kwenye maongezi na wanasheria wa G-unit ili kufanyikisha mipango ya ku-sign mikataba…,je mshikaji ataweza kufanya mambo kama washikaji waliokuwepo mwanzoni??? jiulize then sema wangu

No comments: