jana ilitokea milipuko ya mabomu katika ghala la jeshi maeneo ya gongo la mboto, na pichani ndio taswira ilivyokuwa usiku wa kuamkia leo.mpaka sasa inasemekana watu 15 wameshfariki dunia na majeruhi ni wengi sana. na mpaka sasa kuna watu zaidi ya 1500, katika uwanja wa uhuru wakiwa hawana makazi.unaombwa kutoa msaada wa hali na mali kuwasaidia waathirika wa mabomu hayo
No comments:
Post a Comment