Mwanadadiva ambae ameshafanya kazi na wakali kibao kwenye game duniani akiwemo Ja Rule, 50cent,LL Cool J na wengine kibao hapa namzungumzia Jennifer Lopez jana ameweka wazi mapenzi yake kwa mkali kutoka Young money Weezy F baby au unaweza kumuita Lil wayne…. Jennifer Lopez alisema anamzimia sana Lil wayne na anahisi kua yeye ndo the best rapper alive kama anavyojiita yani kiufupi anawakubali Young Money wote akiwemo mwanadada Nicky Minaj na kuelezea kua japokua bado hajaisikia Album yote ya Nicky Minaj ila amemkubali tu kwa Hits ambazo amezitoa…..
No comments:
Post a Comment