50CENT ni msanii ambaye kausika kwenye beef na wasanii kibaooo…… kuanzia Ja Rule hadi Fat Joe…. Kupitia interview aliyofanya na MTV juzi kati alisema kuwa katika watu wote aliokuwa na beef nao ambaye amchukii ni Cam’ron na anataka kuwajulisha watu kuwa beef kati yake na Cam’ron lilikuwa beef la ki-hip-hop..la kurushiana maneno tu na anampenda Cam’ron kwasababu ni mtu mwema sana kwake…. Ila Ja Rule na Fat Joe ni watu ambao anawachukia… yani akilala akiamka anawawaza tu….!!
List ya watu wenye Beef na 50cent...
Jay Z, Young Buck, Kanye West, Fat Joe, Ja Rule,
Wyclef Jean,Big Pun, The Game, Rick ross, Lil wayne, Birdman,
Nas,
No comments:
Post a Comment