Thursday

Omarion akiwa anacheza Bhangra

Tunamjua Omarion kama mtu mkali kwenye maswala ya kubreak dance.. sasa umeisha wahi kuimagine mshkaji akiwa anacheza Bhangra…. Yani kama vile wahindi wanavyochezaga kwenye movie zao… Sasa unaweza ukamcheki Omarion akiwa anacheza Bhangra............

No comments: