Friday

NIMEKUCHAGUA LYRICS BY ROSELINE

CHORUS,
NIMEKUCHAGUA WEWE,UWE WANGU WA MAISHA HAYA NI WEWE NA MIMI TU!NASITA KUACHA AHH TUZAE NA MAPACHA BABY NIWEWE NA MIMI TU,

VERSE 1.
NAKUPENDA NA KUHITAJI NATAKA UWE WANGU NIMECHOKA ME KUTENDWA AHH,NAJUA WANIPENDA LAKINI WAOGOPA MANENO WASEMAYO OOH,WANASEMA ME MALAYA ETI ME KICHECHE SITA WEZA KUKULINDA AHH KUPENDA SITOACHA WACHA WAONGEE,WATASEMA WATA ACHA AHHH.BRIGDE IHAVE CHOOSEN U.BE MINE FOREVEUR AHHH.

CHORUS,
NIMEKUCHAGUA WEWE,UWE WANGU WA MAISHA HAYA NI WEWE NA MIMI TU!NASITA KUACHA AHH TUZAE NA MAPACHA BABY NIWEWE NA MIMI TU,

VERSE 2.
MOYO WANGU NIMEKUPA,UNIPENDE ME DAIMA TUJENGE FAMILIA AHHH,KUKUSHARE SITOWEZA,ACHA WAONGEE WATASEMA WATALALA AHH, NIWE NA WEWE MILELE KWENYE SHIDA NA RAHAA USINIACHE PEKEE YANGU MHHH,NITAKUTUNZA ME DAIMA NITAKUPA UNACHOTAKA,KUKUPENDA SITAACHA AHHH,

CHORUS,
NIMEKUCHAGUA WEWE,UWE WANGU WA MAISHA HAYA NI WEWE NA MIMI TU!NASITA KUACHA AHH TUZAE NA MAPACHA BABY NIWEWE NA MIMI TU, 

No comments: