Wesley Snipes, T.I., DMX, and Cameron Douglas ni macelebs wanaotumikia vifungo jela wamezuiliwa kupokea zawadi yoyote ya X-Mas kutoka njee ya jela lakini wanarusiwa kuonana na watu wanaoenda kuwatembelea na kupiga simu chache....sheria hiyo imeekwa kwaajili ya usalama..
No comments:
Post a Comment