Monday

DIAMOND KUWANIA TUZO MTV

Mwanamuziki mahiri kutoka Tanzania, Diamond, leo ametangazwa kuwania tuzo ya ya muziki barani Afrika ya MTV Africa Music Awards (MAMA 2010) na hivyo kuwa mwanamuziki pekee kwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kutoka hapa nchini, tuzo ambazo zinatolewa na MTV na kudhaminiwa na Zain.

No comments: