Friday

Cover la Album mpya ya Keisha Cole

Inaitwa “calling all the hearts”, Ni album ya nne ya mwanadada Keisha Cole ambayo inatoka December 21 mwaka huu.. Humo ndani kutakuwa na ngoma kibao ikiwemo I aren’t thru aliyofanya na Nick Minaj… Leo unaweza kucheki cover la album hiyo ndani ya jakamoyo, Ladies wote inabidi muuone staili ambayo Keisha Cole ameitupia kupaka Lipstic yake kwenye cover

No comments: