Akon amedai kua amempa justin Bieber njia za kupata madem katika collaboration ya ngoma yake mpya...Katika interview yake na OK magazine Akon amesema kua justin bieber atakuepo kwenye Album yake inayofata nakua amempa point za kupata wanawake katika ngoma hiyo chamsingi ni watu kusubiria kusikia ngoma hiyo
No comments:
Post a Comment