Friday
50 CENTS AFUNGA ACCOUNT YA TWITTER ILI KUMALIZIA ALBUM YAKE.
Baada ya kuwa anaandika Tweets za kuwashambulia celebrities, hatimaye Rapper 50 Cents jana ametangaza kuahirisha kutumia Account yake ya Twitter mpaka jumatatu ijayo, kwa kuwa anataka amalizie kuandaa album yake ya 'The Return of the Heartless Monster' ambayo anatarajia kuidondosha hivi karibuni, jamaa ameisifia Album yake kwa kusema itakua Classic.
Fif aliwaandikia wafuatiliaji/followers wake milioni 3,070,000 kuwa : "Ok ladies and gentalmen [sic] I'm writing my new album. I will not be on twitter again till sept 6 This album will be a classic." Mapema wiki hii 50 Cents alitoa taarifa kuhusu album yake, kwa series za tweet na ndipo aliporelease jina la album na siku itakapotoka.
Kwa mujibu wa fif album yake itaingia kwenye mtandao tarehe 6 september
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment