yako yanakunyookea huku ukiyafurahia maisha
yako ya kimapenzi na yule umpendaye.
Kikubwa ambacho nimekuwa nikisisitiza hasa katika
Kikubwa ambacho nimekuwa nikisisitiza hasa katika
dunia hii ya sasa, ni watu kujitahidi kuwa na mapenzi ya
kweli kwa wenzi wao,na kuondokana na tamaa zisizokuwa na msingi.
Nasema hivyo kwa sababu, magonjwa ni mengi sana kiasi
Nasema hivyo kwa sababu, magonjwa ni mengi sana kiasi
kwamba kama hutatulia na mpenzi wako mmoja na
kuangalia ni jinsi gani mnaweza kuishi maisha yenu kwa furaha,
kubaliana na mimi tu kwamba, maisha yako yatakuwa ni mafupi.
Ukimwi uko kila pembe, warembo, mashostito, masista duu,ving'ast,
Ukimwi uko kila pembe, warembo, mashostito, masista duu,ving'ast,
mapedezjee, mahandsome, na mabrazameni unaowaona huko mtaani wengi wameathirika,ambaye yuko salama ni wewe tu na mpenzi wako.
Tulia na mpenzi wako, ridhika na kile unachokipata kutoka kwake.
Tulia na mpenzi wako, ridhika na kile unachokipata kutoka kwake.
No comments:
Post a Comment