Tuesday


MCHEKI MNYANGE HUYU TOKA machozi Band

DIVAA

mcheki Diva nae bila Maker up

Leona Lewis nae alikuwepo.

mcheki Nick Canon na mkewe M Cary.

MAPENZI HAYANA UMAARUFU KWANI HATA OSAMA

NAE ANAKIBURUDISHO CHAKE,MKALI THE YOUNG MILLIONER

Lil Wayne ALITOSWA NA SISTER DUU PANDE ZA ETHIOPIA

IKASABABISHA AANDIKE KITU CHAKE CHA promo queen

kwani ilisababisha alie machozi alipotoswa.jiulize ingekuwa Bongo

nani angemtosa huku wanajua Have a baby by me be a millioner...

hata kama watu wanasema ameiba mchizi

wa watu ila bado wanapendeza sana

wacheck wenyewe kwa mashauzi

yao,Mashonda atakoma tu.

ALICIA KEYS naSWIZZ BEAT

mitoko ya kawaida Kanye West akiwa na Ambe

music unalipa ndo maana mkali toka Origina Comedy

MPOKI naye ameachia track yake ya mtindo kama wa MJOMBA

unaitwa SHANGAZI.......

mcheki mtangazaji namba One wa Bongo flava, Dj fetty.

kijana wetu mkaliwa mapenzi anadai on Vakentine day

anaangusha Album yake sokoni,je kajipanga

vizuri au ndo utamu wa jojojojojoj?????

jiulize je daz yupo au ndo anapotea

madee baba wa pesa

Madee KIJANA ANAYE ILILIA PESA KWANI UOMGO BILA pesa

nao atkula maisha bora now

imagin umerudi home then unafuraha sana

huku umeshika zawadi kwa ajili (mkeo) yake ila

ghafla mbwa anaingia then anavuta pazia unamwona mshikaji

alikuwa anakula kiburudisho chako utafanya nini.

mkali wa MAISHA PLUS anayesumbua mpaka kesho

mkali PHARREL WILLIAM aliyetamba zamani

na kupewa heshima kwa bling now yuko busy

na mzigo studio,keep waiting

MISS DOMINO KUNA GWARA ON THE NET KUWA

SHE IS BACK,NA TAARIFA NI KUWA

KAMPA SHAVU LIL WAYNE

ATAMBAE NA TRACK ,,All 4 u,,

RIHANNA KUNA STORY KITAA ZINADAI

KAPATA BWANA MWINGINE BAADA

YA MZEE WA MANGUMI KUTEMANA.

Sunday


pozzzzzzi kali,mchixi yuko hot kama

humpendi we huna maana

CHID BEEEEENZ

MORACKA a.k.a Mr Loveness

kama vile wanapendana ua botion au coz wote

wako juu ndo maana malovedav ndo njenje

kama nimelipenda pozi 4 sure.