BAADA YA MIAKA KADHAAA MABADILIKOYATAKAYO TOKEA KWA WATU NIKAMA HAYA. JE NA WEWE UTABADILIKA??????
Monday
MWAKAN NI MWENDO A MAGARI MAPYA JIANDAE KUPATA MSHIKO ILI UENDESHE...
MTAMBO KAMA HUU
UKO MBIONI KUFUNGWA
BONGO,UNA HABARI
Saturday
amini usiamini haya yametokea
WAPI? LINI?USINIULIZE
Itafute hii njia ukiweza
kuijua ilipo niambie
Friday
hebu na wewe jiulize hivi kilimanjaro
itarudi kuwa kama zamani ???
icheki enzi za mwalimu
iko siku kweli majangwa
yatakujakuwa hivi???
ndoto tata
hata hii nayo ipo ila unahela
mtu wangu
hey unamkwanja dinga linasukumwa
mkwanjakiduchu sanantafute
Thursday
ni mzuri wa sura,tabia na mkwanja anao wa kutosha lakini anajiheshemu,jemtoto wa kibongo akizishika na umaarufu si inakuwa noma atakavyotufanyia.......
Monday
kila siku ni siku mpya kwetu je ulishawahi kujiuliza ipi siku ambayo siyo mpya kwako!????