DAWSON NDABA

Its all about Music,News,Lifestyle,Love n Sex, Life[ Entertaiment]

Pages

  • HOME
  • AUDIO MUSIC
  • MUSIC VIDEOS

Tuesday

UNAPOMKUTA RAFIKI YAKO KIPENZI CHUMBANI KWAKO AKIWA NA MPENZI WAKO UTAFANYAJE?

Hebu tujadiliane hili; Unaishi jijini Dar es Salaam, unaye mpenzi wako ambaye unampenda sana. Huyo alikuwa akiishi mkoani Mbeya, lakini amekuja Dar kama wewe kutafuta maisha. Mkakutana na kupendana, baadaye mkaamua kuanza kuishi pamoja.
Lakini unaye rafiki yako kipenzi, ambaye unamuamini na kumuheshimu sana. Mara nyingi amekuwa akija kukutembelea nyumbani jioni na mnashiriki pamoja chakula cha usiku mara nyingi. Siku moja ukiwa ofisini, unagundua kwamba kuna kitu ulikishau nyumbani, unaamua kurudi kwa ghafla.
Ile unaingia sebuleni, unashangaa kukuta nguo za mwanaume pamoja na viatu, ulipoenda chumbani, unamkuta mpenzi wako yupo utupu na rafiki yako, wakiwa katika maandalizi ya kufanya mapenzi.
Pambanua ubongo wako. Kama ni wewe utachukua hatua gani? Tujadiliane.href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEvIyewWAPj7_OnDSHfwtjHjAbFi9PSEg6-h794f714mHRtu8h9PSm0HfJWRJ1tVz1g8QvjvyiQGAqviKHQ6QARck0tZi9GbKX_lNVCgOg1coUHH0fy-VYTOQCiITLQyx0gsE3b4-eyd4/s1600/mahabaa.jpg">
Posted by Unknown
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

2 comments:

Anonymous said...

Kama sijamwoa kiukweli namwacha kabisa.

17/8/10
Nandi said...

Kiukweli nikumwacha tu kwann amekubali kupigwa na mchz tena room kwangu.

18/8/10

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW ME ON FACEBOOK

Dawson Ndaba

POPULAR POSTS

  • USHAMBA WA MAPENZI NA PICHA ZA UCHI.
    Huyu mdada amesoma hapa hapa SAUT                                                      hapo akiwa SERENGETI inasemekana              ...
  • PICHA ZA WEMA SEPETU ZAWA HABARI YA MJINI MITANDAON,
                                                       Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake                               zeny...
  • CIARA NA PICHA ZA UCHI.
                               The super hot dancer mwanadada Ciara aekuwa gumzo kwa                             kipindi hiki all over socia...
  • MASIKINI GENEVIV MPANGARA UCHI??????
                    Taarifa zilizoko mtaani zinadai hizi picha mdada amepigwa akiwa nje ya nchi                       aliko kuwa amekwenda b...
  • (no title)
    Niki minja na makalio ya kichina
  • JAMANI CHECKIN POZI ZA MDADA IREN UWOYA
  • BATANI MUDA MWINGINE NI RAHA SANAAAAAA
                                                WAKUCHORA NA MAHELA.                                    GESSA BOY    ...
  • HAYA MAISHA YAKO SHULE UKUBALI UKATAE.
    i n                                          Mwangalie huyu mdada mdogo sijui uchafu gani                                            wan...
  • SHAKIRA and GERARD PIQUE share amazing pregnancy photos wit
                                        Shakira ameamua kuweka picha hizo mtandaon mapema                                      ili mashabiki...
  • KAMA ULIMISS KUONA KUGANDA KULE TEMEKE CHECK UJUE ILIKUWAJE KWA HAWA.
                                                      Mke wa mtu sumu kama hujui jaribu                                                   ni...

BLOG ACHIEVES

  • December (26)
  • January (24)
  • February (31)
  • March (41)
  • April (8)
  • May (2)
  • June (18)
  • July (22)
  • August (24)
  • September (30)
  • October (32)
  • November (24)
  • December (26)
  • January (29)
  • February (16)
  • March (14)
  • April (21)
  • May (14)
  • June (3)
  • July (3)
  • August (6)
  • September (6)
  • April (5)
  • September (5)
  • October (1)
  • November (15)
  • December (16)
  • January (5)
  • November (2)
  • July (2)

CHAT HERE

BLOG VIEWS

(c) Dawson Ndaba. Designed by, Francis Mbwana (Chopaboy). Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.